Acha tu nataka ninunue umeme naona umelipa kama makato ya deni lako la songeshaUkute mwenyewe ulikuwa na bajeti nayo
Haha,pole sana mamaAcha tu nataka ninunue umeme naona umelipa kama makato ya deni lako la songesha
NimeshapoaHaha,pole sana mama
Sijui hata nilijisahau nini, nikashindwa kuweka emoj pale
Yaani baba wawili juzi naona chupa za kijani sijaamini naangalia picha mara mbili mbili




Airtel pia wanatabia hiyo, wanakata juu kwa juuAcha tu nataka ninunue umeme naona umelipa kama makato ya deni lako la songesha
Ufiche emoji uonekane mtakatifu baba wawili wewe ni member mwenzangu itabaki hivyoSijui hata nilijisahau nini, nikashindwa kuweka emoj pale![]()
Nimeshazoea tigo jamani nakopa laki na malaki hawakati hata uingize kiasi gani kwenye tigo pesa mpaka uamue kulipa mwenyeweAirtel pia wanatabia hiyo, wanakata juu kwa juu