Kwamba we mzee kule selfie una totoz eenh ndio maana umekamatikaHahahaha, nipo shangazi, inabidi nitafute totoz humu nisiadimike sana
Hapana hata kule sina ,kifupi sina ,nazeeka JF bila totozKwamba we mzee kule selfie una totoz eenh ndio maana umekamatika
Hahhahaha we mzee nimecheka sana kuhusu kuzeeka jf bila totoz nakataa mwaka juzi si ulianzishiwa thread we mzee unaopendwaHapana hata kule sina ,kifupi sina ,nazeeka JF bila totoz
Hahahaha na nani? Ukweli ndio huo nazeeka bila totoz, dah uzee wa kijijini huuHahhahaha we mzee nimecheka sana kuhusu kuzeeka jf bila totoz nakataa mwaka juzi si ulianzishiwa thread we mzee unaopendwa
Hahha nakumbuka demiss alikuwekea thread anakupenda sanaHahahaha na nani? Ukweli ndio huo nazeeka bila totoz, dah uzee wa kijijini huu
Hahahaha, kuweka sio kuwa nae,we shangazi kwani kuna kitu umewahi kunikubalia?Hahha nakumbuka demiss alikuwekea thread anakupenda sana
Mimi swala la wewe kuzeeka jf bila totoz nakukatalia we mzee nidanganye lingine
EeenhHahahaha, kuweka sio kuwa nae,we shangazi kwani kuna kitu umewahi kunikubalia?
Hahahaha, si km hili unakataaEeenh
Kama vipi we mzee nilivyokukatalia
Hahaahha hili siwezi kulikubali kabisaHahahaha, si km hili unakataa
Unaona sasa ,nilijua tu huwezi kukubali lkn ndio ukweliHahaahha hili siwezi kulikubali kabisa
Dah, tayali nmekuwa memba mwenzakoBaba wawili member mwenzangu wa chupa za kijani
Heri ya mwaka mpya Bro!!!
Nitekwe na nani shunie, nilikuwepo tuBaba wawili umetekwa leo