Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Ha ha ha umefurahi eehUfiche emoji uonekane mtakatifu baba wawili wewe ni member mwenzangu itabaki hivyo
Ha ha ha umefurahi eehUfiche emoji uonekane mtakatifu baba wawili wewe ni member mwenzangu itabaki hivyo
Tigo wapo vizuriNimeshazoea tigo jamani nakopa laki na malaki hawakati hata uingize kiasi gani kwenye tigo pesa mpaka uamue kulipa mwenyewe

wanawake tusipende hela za kuomba mwanaume akikupenda atakupa mwenyewe hapo sasa pa kupewa mwenyewe
sio kila mwanaume anaweza

unamuomba nani muda gani ni jukumu lako 




kuomba ni kipaji sio kila mtu anaweza
Hahahahaha sanaaaa yaani nilikuwa najua haupigi chupa za kijaniHa ha ha umefurahi eeh
Wapo vizuri sanaaa kwenye mambo ya hela tigo hawana mpinzaniTigo wapo vizuri
Kwamba huwa unavumilia tu na unakuta uko na mashida yako kibao,wanawake tusipende hela za kuomba mwanaume akikupenda atakupa mwenyewe hapo sasa pa kupewa mwenyewe
sio kila mwanaume anaweza
Wanaume hawachukii kuombwa hela ila wanachukia kuuziwaunamuomba nani muda gani ni jukumu lako
Halafu na nyie wanaume mnatakiwa mjue wajibu wenu sio mpaka muombwe mjiongeze![]()
Yaani kama mimi siwezagi kuomba kabisa na siku nikikuomba kweli nimeshikika tunaweza kuwa wote kumbe nipo na mashida yangu tu navumiliakuomba ni kipaji sio kila mtu anaweza
Baba wawili ukuje apa hizi mambo za pesa ndio unazipendaView attachment 1693391
Hahaha mdogo mdogo shunieHahahahaha sanaaaa yaani nilikuwa najua haupigi chupa za kijani
Hahaha baba wawili unafikili natania na mpaka nakuomba kweli nimezidiwa ile yenyewe sina jinsiKwamba huwa unavumilia tu na unakuta uko na mashida yako kibao,