Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Hakuna cha mdogo mdogo bwanaHahaha mdogo mdogo shunie
Hakuna cha mdogo mdogo bwanaHahaha mdogo mdogo shunie
Hahah haya bwanaHakuna cha mdogo mdogo bwana
Sio mbaya kumkumbusha pia, unaweza kuta katingwa na majukumu mengine... Sema mabinti wengine huwa wanataka wakisema kitu kitimizwe muda huo huoHahaha baba wawili unafikili natania na mpaka nakuomba kweli nimezidiwa ile yenyewe sina jinsi
Halafu na kwa nini mpaka uombwe mwanaume jiongeze cheza nafasi yako kama mwanaume upo na mwanamke ana mahitaji yake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kumkumbusha ndio kumuomba hiko kipaji wachache ndio wanacho baba wawiliSio mbaya kumkumbusha pia, unaweza kuta katingwa na majukumu mengine... Sema mabinti wengine huwa wanataka wakisema kitu kitimizwe muda huo huo
Unamkumbusha tu, kuliko kukaa kimya shunie, unakufa na shida zako hivi hivi[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kumkumbusha ndio kumuomba hiko kipaji wachache ndio wanacho baba wawili
Baba wawili siwezi unajua mimi masikini jeuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani siku nikikwambia babe nina shida ya hivi na vile woiiii juwa nimebanwa sana na vyanzo vyangu vya pesa vyote vimebuma sina jinsiUnamkumbusha tu, kuliko kukaa kimya shunie, unakufa na shida zako hivi hivi[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah hiyo mbinu yako ya kutuma text sio ya mchezo, unajifanya kama umeisahau vileBaba wawili siwezi unajua mimi masikini jeuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani siku nikikwambia babe nina shida ya hivi na vile woiiii juwa nimebanwa sana na vyanzo vyangu vya pesa vyote vimebuma sina jinsi
Na kama nakutumia text simu naitelekeza kwa mda nije nikutane na jibu
Hahhaha sasa je unasubiri jibu mambo hujayazoea na shida imekukamata unafanya nini baba wawili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah hiyo mbinu yako ya kutuma text sio ya mchezo, unajifanya kama umeisahau vile
[emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu nataka ninunue umeme naona umelipa kama makato ya deni lako la songesha
Hatujambo wewe je moudHamjambo humu