Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Kwema kabisaaJamani kwema humu ndani
Kwema kabisaaJamani kwema humu ndani
Mkuu kwema kabisa mkuuMkuu niaje
Baharia naona ndani ya hizi siku mbili umenenepa ghafla!🏃🏃🏃Anko mm kwenye ada unajua kabisa hedimasta ni mwenyekiti wa upatu hivo atachukua mzunguko wangu
Kumekuchaaaaaaaaaaaaa giresiiiiiiiNamwagaaaaaaaaaaaaaa!!
Kunenepa lazima mkuuu ....huonii nishapataa baby mpyaBaharia naona ndani ya hizi siku mbili umenenepa ghafla!![]()
Giresiiii tumepeana nafasi baada ya kupeana sana shombo!Kumekuchaaaaaaaaaaaaa giresiiiiiii
Leo una yup sasaGires tumepeana nafasi baada ya kupeana sana shombo!
...anenepe wapi, anavaa nguo oversize tu maana ada za wanae mmoja wa secondary na mwingine kaanza chechea kwa masisista zimempoteza mwelekeo anajifariji kwa CBaharia naona ndani ya hizi siku mbili umenenepa ghafla!🏃🏃🏃
Kupeana nafasi maana yake siyo kutafuta mpenzi mpya!Baharia bhana!!Leo una yup sasa
Nakuelewaaaa .....Kupeana nafasi maana yake siyo kutafuta mpenzi mpya!Baharia bhana!!
Kuna 'je wajua' moja nimeipata kule insta kuwa X wako anataka akurudie katikati ya penzi lako jipya!🏃🏃🏃Nakuelewaaaa .....
Hahahahqhahahaha kwa kweli wacha ninenepee kwanzaKuna 'je wajua' moja nimeipata kule insta kuwa x wako mmoja hivi anataka akurudie katikati ya penzi lako jipya!🏃🏃🏃
🤣🤣🤣Hahahahqhahahaha kwa kweli wacha ninenepee kwanza
Mkuu kwema lakini?