Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,170
HahhahahHahaha nilijua tu, haukuwa wewe pale
Baba wawili kwenye akili za kawaida siwezi imba mama amina
HahhahahHahaha nilijua tu, haukuwa wewe pale
....nimekuwa nikiisikia hii mama Amina, hebu nijulishe ni kibwagizo gani na kinahusisha nini, tafadhari aunt?!Hahhahah
Baba wawili kwenye akili za kawaida siwezi imba mama amina
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] binamu natamani hili swali ungeniuliza nimepiga chupa zangu za kijani....nimekuwa nikiisikia hii mama Amina, hebu nijulishe ni kibwagizo gani na kinahusisha nini, tafadhari aunt?!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] binamu natamani hili swali ungeniuliza nimepiga chupa zangu za kijani
Ila acha nikujibu hivi mama amina ni nyimbo ya marioo binamu yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa binamu niulize siku ambayo nitakuwa nimepiga chupa za kijani....asante aunt, binamu yako ningefurahia sana kama ungenijibu ukiwa umepiga chapa za kijani pale Margaritaville
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa binamu niulize siku ambayo nitakuwa nimepiga chupa za kijani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umechanganya bwana binamu
Marioo ni mtu mwanamuziki wa Bongo flavour [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...nitafanya hivyo bila kukosa, shida inakuja nitajuaje sasa na je kama nami nikiwa nimempitia anko kwenda kumtembelea Patron 40% naweza kukuuliza ukasema nakutania. Kwanza Mariooo ni mtu au wimbo wa Le Mopao Franco?
.....duh, umri unakimbia sana aunt. Imebidi nimgoogle kumbe kijana yuko vizuri kabisaMarioo ni mtu mwanamuziki wa Bongo flavour [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]