Naam vincBibie wa kunena kwa lugha
😂😂😂😂😂Sina bundle
Eeenh
Toka lini boss lady ukakosa bando ?Eeenh
Nikiweka bundle nitawawekea magazeti na je wajua
Hii mbona ipo wazi shunieBaba wawili kuna ujumbe wenuView attachment 1675210
Aah!!
Hapa ni fresh kabsa broBro ningendako habari za Burigi Chato, nina hakika mambo ni shwari hapo kwenye jiji tarajiwa
Mimi huyu boss lady yameanza lini hayaToka lini boss lady ukakosa bando ?
Hahahaha nilitaka nishangae usikazie kuhusu chama la wanaHii mbona ipo wazi shunie
Hahaha msipingane na tafiti mvae vyote ili mvutieAah!!
Tumewachoka sasa, mara wanaume wanaovaa fulana nyeupe huvutia zaidi wanawake, leo wamekuja na shart tena..