Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tarehe kama ya leo miaka 56 iliyopita,
1964, Wazanzibar wakiongozwa Abeid Aman Karume walimuondoa madarakani Sultan aliyekuwa anatawala visiwa hivyo
FB_IMG_1610450526725.jpg
 
Sultan Jamshid amepinduliwa na wana mapinduzi wa kiafrika waliokuwa na kiu ya kujitawala na hivyo kusitisha madaraka ya kisultan katika visiwa hivyo
FB_IMG_1610450541447.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom