Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
AiseeMama Aminaaaa![]()
AiseeMama Aminaaaa![]()
😂😂😂😂😂😂😂Hahahahha we mzee me najibu vipi sasa hapa na sijawahi kubadilimimi bwana nitakomaa na I'd yangu hiihii sibadili chochote hata itokee nini
😀😀😀😀 HaloooooSafi ,usibadili, ukiona MTU kabadili ujue huyo tayari ana makando kando
😂😂😂😂😂😂😂Haswaa, huwa wanabadili mwisho wanakimbia JF
AtasikiaHongera.
Tusalimie na baba wa huyo mtoto
Hahaahh baba wawili nini tenaAisee
HahahahWooyoooooooo mambo ni fire
Iko poa baba wawili vipi wewe uko nyegeziWeekend vp Shunie
😂😂😂😂 Ungezama tu Kwani sh ngapi🤣🤣Kidogo nizame pm upya![]()
Hahahaha, dah sijatekwa bana ,nilikua najifunza mambo mapya ya selfieAnko wako alikumiss kila siku anasema shunie umeshindwa nini kumchomoa anko kwenye selfie kule kaweka kambi kabisa au ametekwa
Namwambia huwa namwita ananiambia anakuja halafu kimya
Hahahaha, na likimbie kabisaKumbe ndio inavyokuwa hilo pepo la kubadili I'd lishindwe kwangu
Hahahaha, mambo vipiHalooooo
Umeanza unabe lini?
Kwa YesuHahahaha, mambo vipi
Hahaha kwahiyo umeshajifunza sasa we mzeeHahahaha, dah sijatekwa bana ,nilikua najifunza mambo mapya ya selfie
Mwambie anko asihofu
Tumsifu Yesu KristoKwa Yesu
Hahahaha, hawaweki picha siku hz, nilikua najifunza shots za pichaHahaha kwahiyo umeshajifunza sasa we mzee
Hahaha we mzee una mambo sanaHahahaha, hawaweki picha siku hz, nilikua najifunza shots za picha
Milele AminaTumsifu Yesu Kristo
Hahahaha, muzee ya kisasa ,old boyHahaha we mzee una mambo sana