Kwema,Nawasalimia katika jina la bwana
Hongera.Mimi sijambo Niko naendelea na malezi mwanangu anatambaa sasa
Hahhaha si najua asubuhi lazima watu wapitie magazeti
Hatujambo moud habariHamjambo humu
Mambo mengi Shangazi lkn now nitakuwepo sana tuHahhaha si najua asubuhu lazima watu wapitie magazeti
Halafu we mzee tatizo umeadimika sana humu
Trafikiii kamuitaa chobingooo nini ?