Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,175
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kumbe ndio inavyokuwa hilo pepo la kubadili I'd lishindwe kwanguHaswaa, huwa wanabadili mwisho wanakimbia JF
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kumbe ndio inavyokuwa hilo pepo la kubadili I'd lishindwe kwanguHaswaa, huwa wanabadili mwisho wanakimbia JF
Anko wako alikumiss kila siku anasema shunie umeshindwa nini kumchomoa anko kwenye selfie kule kaweka kambi kabisa au ametekwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nawe pia anko,tunashukuru Mungu tumeuona
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuanza maisha upya mkoa ambao haujauzoea ngumu sana
Baba wawili acha tu nipambane na joto langu ukuuku
Umeona eenh sasa hayo mambo ndio sitaki yanikute acha nipambane hukuhuku nilipozoea baba wawili[emoji28][emoji28]
Ni kweli Shunie, lazima upate changamoto zake maana unakuwa mgeni hasa kwenye mambo ya utafutaji
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hatimaye umefanikisha shunieAnko wako alikumiss kila siku anasema shunie umeshindwa nini kumchomoa anko kwenye selfie kule kaweka kambi kabisa au ametekwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namwambia huwa namwita ananiambia anakuja halafu kimya
Hahahhah baba wawili umeanza[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hatimaye umefanikisha shunie
Moud we mnyakyusa eenhMchana mwema View attachment 1672804
Baby ex mkuuMoud we mnyakyusa eenh
Hapana, mi ni wa hapahapa.Moud we mnyakyusa eenh
AbeehBaby ex mkuu
Nilivyoona hiko chakula nikajua we wa ukoHapana, mi ni wa hapahapa.
Niliwahi kula chakula hicho huko Mbozi.
Kwa nn uliniachaAbeeh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] me mtu mzima ujue sitaki kuwapa watu faida ngoja nikuje WhatsApp kukujibuKwa nn uliniacha
Hahahahahahahahha vn sitakiiii tenaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] me mtu mzima ujue sitaki kuwapa watu faida ngoja nikuje WhatsApp kukujibu
Hahaha sasa nitakujibu vipi zaidi ya vnHahahahahahahahha vn sitakiiii tenaaa