Kabla hujaweka nitaomba unitumie pm kwanza hilo tangazo nijaribu kutumia hiyo comparative advantage.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nataka kuweka thread ya kutafuta mume mie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tumeachana bwana
Nyie mliooa ndio tunawataka watu wazima wenzetu ambao hawajaoa kusumbuana tu utoti mwingi
Hiyo avatar sifanani nayo hata kidogo niliiba tu kwa picha za watuMimi Sijaoa bwanaa[emoji3][emoji3]
Hivi Kwanini walete usumbufu kwa mrembo Kama Wewe (avatar tuu inaonesha) hawajui Wewe ni precious metal to keep hahahh
I'm on that good kush and alcohol
Hahahah usijaliKabla hujaweka nitaomba unitumie pm kwanza hilo tangazo nijaribu kutumia hiyo comparative advantage.
Sent using Jamii Forums mobile app
Smart ridhiki ikiisha imeisha bwana huwezi lazimisha hata kama mlifanya vitu vingi vipiUmepigana au umepigwa? [emoji3] [emoji3]
Unajua kuachana ni dhambi kubwa sana...
Vuta picha mambo yote mliyokwisha fanya, fanyana na kufanyiana...
Cc: mahondaw
Ahaaa Oohky ,Hiyo avatar sifanani nayo hata kidogo niliiba tu kwa picha za watu
Siko serious bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] chit chat hii nawekaje bango na mtaani wamejaaAhaaa Oohky ,
ikitokea umeweka hilo tangazo la Mume Mimi Sita sita kuzama kwenye hicho kinyang'anyiro [emoji3][emoji3]
Pole though kwa ku-break Up
I'm on that good kush and alcohol
Smart ridhiki ikiisha imeisha bwana huwezi lazimisha hata kama mlifanya vitu vingi vipi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Smart bwana mimi kuachika nitake mwenyewe apa tunachangamsha makapuku hivi naanzaje kuweka thread mke wa mtu mie na wajukuu juuKwa hiyo wataka kusema ridhiki ni mafungu 7... na ushakula yote 7 bila kuacha akiba...
Usitafute baki nae huyo huyo... or else watakukula kimasihara...
Cc: mahondaw
Ahahahah Aaaahhh me nlijua upo SeriousSiko serious bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] chit chat hii nawekaje bango na mtaani wamejaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Smart bwana mimi kuachika nitake mwenyewe apa tunachangasha makapuku hivi naanzaje kuweka thread mke wa mtu mie na wajukuu juu