Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Tulikubaliana sawa ila nan wa kwanza kuvunja makubaliano
...hata kama, ungetulia unadhani kuna mtu angejua? Unaona binamu ningendako kajituliza anasingizia hana simu kumbe katekwa visiwa vya Madagascar.
Makubaliano tuyaboreshe ili ukiharibu nami niharibu. halafu anko, Mariam biriani kahamia wapi? Kakataa kuniambia alikohamia kwa kuwa wewe ndo umemuhamisha

