Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Sawa Sawa.
Mimi nilisema tu kama kuna wanaochat na babe wangu
Mimi nilisema tu kama kuna wanaochat na babe wangu
[emoji23][emoji23][emoji23]Babe magazeti hakuna leo
[emoji106][emoji106]
Salama kabsa, za weekend
Hahhha ya kutokuaga nishaizoea mie hainipi shida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuanzia leo ukiquote comment yangu nakuambukiza Corona!Quote za mumeo huko!
Hahahhaa baba wawili bwana ujue we mchokozi sanaInabidi kwenda naye hivyo hivyo
Baba wawili mbona unacheka hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukija unasalimia tu ukijibiwa haujibu hivi Una maana ganiiii
Safi sana kibonge yna2! Kazia hapohapo Mama ndiyo maana nakupendea bure mimi apa![emoji4][emoji4][emoji4]Ukija unasalimia tu ukijibiwa haujibu hivi Una maana ganiiii
Hivi kumbe natakiwa nijibu tena..!! [emoji848]Ukija unasalimia tu ukijibiwa haujibu hivi Una maana ganiiii
[emoji3][emoji3][emoji3]Safi sana kibonge yna2! Kazia hapohapo Mama ndiyo maana nakupendea bure mimi apa![emoji4][emoji4][emoji4]
Eeenh
Nitaanza huo utaratibu dearEeenh
Watu wakikujibu unatakiwa uwajibu jamani
Wewe ni Corona virusi!Acha uchochezi we mzee
HilooooooooooooWewe ni Corona virusi!
Shikamoooo ankooo binamuuuu....tuwe na wiki njema wadau