Makapuku Forum

Makapuku Forum

..
IMG_20200331_072349.jpg
 
Mjombaaa achana nae anachokitafutaa atakipataa ankoo ....ila yule mmadagascar yuko vzurii haswaaaaaaaa mpaka nilikuonaa nyendooo zakooo....

Mariam nilimkutaa banana nyuma ya airwingz anakanmbiaa sasa hivi sio level zakoo
Kwahiyo Mariam kawa matawi siku hz hamtaki bwana obe [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...hata kama, ungetulia unadhani kuna mtu angejua? Unaona binamu ningendako kajituliza anasingizia hana simu kumbe katekwa visiwa vya Madagascar.

Makubaliano tuyaboreshe ili ukiharibu nami niharibu. halafu anko, Mariam biriani kahamia wapi? Kakataa kuniambia alikohamia kwa kuwa wewe ndo umemuhamisha
Binamu hapa nilipo nataman nitekwe tena[emoji23][emoji23]

Habari ya uzima binamu?
 
Back
Top Bottom