Hiyo hiyo kibongeee😂😂😂
Anko plz tumekubalianajee...simu yake imeshikwa na engineer Stella, usimlaumu bure anko wangu
Wewe wala usimungunyee maneno sema husna hanisumbuiAnko Lee asante kwa magazeti nayasoma hapa huku nakunywa Alkasusu maana husna muba analea mimba na hana wivu.
Anko Lee asante kwa magazeti nayasoma hapa huku nakunywa Alkasusu maana husna muba analea mimba na hana wivu.





lioneeNasikia vurusi vya Corona havipatani na harufu ya mjaniHiii coronaa inabagua au ? Mbona nchi kama Jamaica hatupati updates
Hiii coronaa inabagua au ? Mbona nchi kama Jamaica hatupati updates
..... nakupenda pia. Kama ulishindwa kutamka nimekusaidia
Anko plz tumekubalianajee
😂😂😂😂😂😂 kwa hiyo wanatuchoraaa etiiii
Sema ukweliiii...anayejua hiyo story ni wewe mimi pamoja na mchepuko wako no .7 ndo kusema kwamba jana ulikuwa unajiseviaaaaa...simu sikuwa nayo mimi, nakumbuka makubaliano yetu.
Inaonekana nimehakiwa