Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sasa unataka aitoee kwakoo au

Bugurun hawez kuishiii mtotot mlitooo cheupee wanguu
Buguruni hawezi kuishi wakati kakulia kwetu Temeke Mikoroshini, na huko ndiko alikoujulia utamu wa binamu ambao hauishi hamu!! Huyo ni wako akiwa kwako akija kwa aunt ake lazima akumbushie utamu wa binamu! Pole sana... binamu hapewi talaka!
 
Huyu Kijana namjuaga mwenyewe huyu, binafsi nishamshindwa! Haya sasa ndugu yangu Kataskopos, hebu ukuje huku umjuze mpwa ako Shunie... una kimeo cha Finca, Bayport, Tala au vimeo vyetu vile vinavyoanzia PM na kuhitimishwa mtaani?!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nataka kusikia kwamba ni vimeo vya pm na kuishia mtaani binamu
 
Back
Top Bottom