Makapuku Forum

Makapuku Forum

Bhana eh! Ndo nimekuja... lau kama nisingeanzia PM, wala nisingekufahamu! Ila mdogo wangu twende taratibu! Hapa JF ukiona mtu amepata jina la ubatizo basi ujue anakimbia kimeo [emoji23][emoji28]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwahiyo anko wangu naye kakimbia kimeo sasa kitakuwa kimeo gani hiko binamu
 
Ni chuki tuuu!! Yaani mtu mwingine akung'ang'anie huko sijui binamu njoo, sijui binamu nakutaka, sijui binamu wewe ni mtamu sasa badala ya kufa na huyo mtu huko unakuja kudai kuwa mimi ambae hata sina shida na mtu kuwa siyo mtu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kibongeee humpatiiii
 
Back
Top Bottom