Ulidanganywaaaaa mkuu😊😊😊 make sisi tuna miaka na miaka ...Vipi tena?! Mi namuita binamu yangu nyama yangu ya hamu, the one and only my Shunie!! We binamu Shunie yaani nimeondoka tumiezi tuwili tu ndo tayari umeshajiweka kwa huyu Lee?!
Khaa! Ulisikia wapi binamu anadanganywa?! Wewe ndo itakuwa unadanganywa pale binamu Shunie anapoaga eti anaenda kumsalimia shangazi kumbe anajua kidume nimejaa kibao kwa aunt yake!Ulidanganywaaaaa mkuu😊😊😊 make sisi tuna miaka na miaka ...
Nakuonya ubinamu uwe ubinamu kweli
Anyway goodmorning
Kabisa, akija tu nyama ya hamu bila shaa nitakipataUnachokitaka utakipataa
Uringeeeee 😂😂😂Kabisa, akija tu nyama ya hamu bila shaa nitakipata
Ulidanganywaaaaa mkuumake sisi tuna miaka na miaka ...
Nakuonya ubinamu uwe ubinamu kweli
Anyway goodmorning
