Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Sorry nmekoseaaaa hapooo nan kambusu mwenzakeee eti akiwa wa kwanzaDah.nimecheka sana
Sorry nmekoseaaaa hapooo nan kambusu mwenzakeee eti akiwa wa kwanzaDah.nimecheka sana
Mnanipeperushia njiwa wangu, siyo poa!Kama ni hivyo acha akukatalie tu
Kwa style hiyo acha apeperuke tuMnanipeperushia njiwa wangu, siyo poa!
AnajulikanaSorry nmekoseaaaa hapooo nan kambusu mwenzakeee eti akiwa wa kwanza



Njoo basi binamu tushinde wote ndani manake ingawaje Magu kasema tuendelee tu kudunda, mi nimesema sitoki nje ng'o! Kwahiyo binamu si utakuja?Mbona mnyatuzu haji jamani na binamu yangu Chige nae sijui nimepatia anko
Binamu nyama ya hamu!Njoo basi binamu tushinde wote ndani manake ingawaje Magu kasema tuendelee tu kudunda, mi nimesema sitoki nje ng'o! Kwahiyo binamu si utakuja?



Bhana eh! Ndo nimekuja... lau kama nisingeanzia PM, wala nisingekufahamu! Ila mdogo wangu twende taratibu! Hapa JF ukiona mtu amepata jina la ubatizo basi ujue anakimbia kimeo 😂😅Umepatia kabisa, Chige mara ya mwisho alikuwa ametingwa sana lakini atakuja maadamu umemuita.
Tuheshimianee mkuuuNjoo basi binamu tushinde wote ndani manake ingawaje Magu kasema tuendelee tu kudunda, mi nimesema sitoki nje ng'o! Kwahiyo binamu si utakuja?
Na hupati kabisa family friend approvalBinamu nyama ya hamu!![]()
Eti binamu Shunie, huyu Behaviourist si kapatia enh?! Fanya fasta basi binamu... am waiting for you!Binamu nyama ya hamu!![]()