Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hatujaaachana wala hatutaachana tatizo la huyu mwanaume kubebishana na kila mtu humu babe watu wanajua tumeachana na mimi huwa nakaa kimya namuacha na mambo zake
Na kuanziaaa leo simuitiii baby wala swty ni ww tu unayestahilii maneno hayoo shunie wa roho yangu mwanamke pekee anayenivumiliaa kwenye ujinga wangu na kunipendaaa kutoka moyoni nakupenda na nitakupendaaaaaaaaaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe una moyo was chuma weye

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina moyo wa sanamu [emoji445][emoji445] maumivu nayajua aahhh [emoji847] nyama ya ulimi tamu jamani nyama ya ulimi tamuuu [emoji445]

Nina moyo wa nyama sina moyo wa chuma [emoji1732]
Kupendwa nimeumbiwa [emoji445]mahaba nimeumbiwa mimi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] nina moyo wa nyama sina moyo wa chuma [emoji847][emoji847]

[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom