makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,438
- 108,465
Mdau mwenzangu wa Kigamboni, swalama Swahiba?
Salma wa salmin mufti, vipi ndugu yangu!?
Mdau mwenzangu wa Kigamboni, swalama Swahiba?
Umzoee tuHatujaaachana wala hatutaachana tatizo la huyu mwanaume kubebishana na kila mtu humu babe watu wanajua tumeachana na mimi huwa nakaa kimya namuacha na mambo zake
[emoji23][emoji1787][emoji23]we king'ang'anizi km mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa na mimi naachwaje mimi kuniacha nitake mwenyewe ndio utaniacha bila hivyo siachiki
Siku nyingine uwe mpenzi mshangiliaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unatuelewa vizuri tu sema unajitoa ufahamu akianzaga mambo zake za kubebishana na kila mtu huwa nakaa kimya tu kuwa mpenzi mtazamaji
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] in tumosa's voice
Yeah tunapakana mafuta kwa mgongo wa chupaWake wenza wanaopendana kama wake wa Dr mwaka
Sasa nishaelewaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ungeuliza uelekezwe
[emoji3][emoji3][emoji3]Leo husna muba na wenzio mmenifurahisha sana hata kuweka je wajua siweki [emoji23][emoji1732]
DuuuMchawi ni baharia wewe unaebebishana na kila jike humu![emoji847][emoji847][emoji847]
[emoji1][emoji1][emoji1]Sio kweli! Mimi nakushinda swahiba wangu!
Ushindi wangu Wazee wa kubet wanasema nimetoa handicap!
Mh!Baharia ulikagua chura zao ukagundua hamna kitu?
DuuKama wanabishaa waseme
Mambo hadharani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]