Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji2][emoji2][emoji2]Washindweeee walegeeee....nipeee busuuu iwaumeee
Mi niliuliza jameni[emoji144]Washindweeee walegeeee....nipeee busuuu iwaumeee
Umewashtukia etiila nyie ni noma sana! yaani mmeachana kisayansi, hakuna hata mtu anaejua halafu bado ni mabest ili kuendelea kupumbaza watu!!
[emoji23][emoji23][emoji23]ila na mimi siwaelewi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndio sio lazima yeye atuelewe kama wenyewe tunaelewana
Woyoooooo......(in shunie's voice)[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hatujaaachana wala hatutaachana tatizo la huyu mwanaume kubebishana na kila mtu humu babe watu wanajua tumeachana na mimi huwa nakaa kimya namuacha na mambo zake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa na mimi naachwaje mimi kuniacha nitake mwenyewe ndio utaniacha bila hivyo siachiki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unatuelewa vizuri tu sema unajitoa ufahamu akianzaga mambo zake za kubebishana na kila mtu huwa nakaa kimya tu kuwa mpenzi mtazamaji
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji91][emoji91][emoji91]