Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Aunt yako anasema wewe ni bahiliiiiiii....pesa huwa natuma sasa sema wengi hawatumii EMO na shirika la posta hawafungui jpili.
Mfano ikitokea umepata dharula na una shida ya pesa fanya Fasta kuniandikia simu ya barua, telegram then nitakujibu kwa TMO

