Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mbona hajapigaa nyingi leo...aunt yangu akilewa usimuamini sana. Ubahili si tabia nzuri. Ujamaa na kujitegemea
Mbona hajapigaa nyingi leo...aunt yangu akilewa usimuamini sana. Ubahili si tabia nzuri. Ujamaa na kujitegemea
dah Gigymafweza
Ankooo nakusalimiaaaAcha tu yaani hela ya korosho kidogo imuhamishe kule uswahilini, isingekuwa safari ya kwenda kukanyaga mafuta binamu ungekuwa unakuja kunisalimia hapo Mwananyamala
La pulga wa bongo au wa msimbaziEwaaaaaaaaaaaah

Umezidi kututesa mjomba, hatupumui, unamiliki dimba la kati kaa Ronadihno![]()
Muda si mrefu nalala baba wawiliHahahaha shunie hulali tu
@shunie ndo namiliki kiharaliiiiiiiiii wengine ni kama ww na ankoooo
Leo usku wa mtoto mlitooo




...aunt yangu akilewa usimuamini sana. Ubahili si tabia nzuri. Ujamaa na kujitegemea




Kwahiyo alivyoenda kukanyaga mafuta ikawaje binamuAcha tu yaani hela ya korosho kidogo imuhamishe kule uswahilini, isingekuwa safari ya kwenda kukanyaga mafuta binamu ungekuwa unakuja kunisalimia hapo Mwananyamala
Wa msimbaziiiiiiiLa pulga wa bongo au wa msimbazi![]()
Waambie tunalala na mjomba wenuu yaan mm na wwMuda si mrefu nalala baba wawili
TaratibuuuuMungu wangu nikumbushe wema wako![]()