Kumbe binamu wewe unateseka hahahaha.....anatusumbua sana hapa mjini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Relax mjombaWaambie tunalala na mjomba wenuu yaan mm na ww
Kesho misaa ya ngapi ya shunie tunasali?Nakumbuka wana wa Israel katika bahari ya shamu
Japo walikatiza katikati ya bahari kwa ushindi..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ww ulienda kukanyaga mafuta binamuAcha tu yaani hela ya korosho kidogo imuhamishe kule uswahilini, isingekuwa safari ya kwenda kukanyaga mafuta binamu ungekuwa unakuja kunisalimia hapo Mwananyamala
Hahaha mimi na binamu,tunaelewana sanaWewe unaweza sema sio yy nishakujuaaa hasira zako
Ongeza sauti, binamu hajasikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@shunie ndo namiliki kiharaliiiiiiiiii wengine ni kama ww na ankoooo
Leo usku wa mtoto mlitooo
Nipo kawaida bwana usijali[emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955] nikupigiee ?
Hahhaha baba wawili bwana ya kwanzaKesho misaa ya ngapi ya shunie tunasali?
Hahhaha baba wawili bwana ya kwanza
Mmmmh umenitishaaaNipo kawaida bwana usijali
Mmmmh umenitishaaa