Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Naona watu hawatutakii mema mpendwa...sijaandika mimi. Angalia maandiko anko, kuna mtu ananitafuta maneno
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona watu hawatutakii mema mpendwa...sijaandika mimi. Angalia maandiko anko, kuna mtu ananitafuta maneno
Apooo sawaa nilijua ni wewe ....bahatiii yake husna

Bob sojaaa....katuachia marastaa...yoyo yoyoooo....

Na yake makinikia sijui yaliishia wapi mpendwa?!.....nimeishtaki serikali kwa kuchelewesha malipo yangu ya korosho. Sasa utetezi wao ni kuwa Zito kaandika barua wedikapu hela zimezuiwa. Hakimu kujitoa.
Nilikuwa tu basi utashangaa sana
....jamani msisikilize haya maneno. Tangu lini hotel ikawa guest?




Bh _ blessed hopeWananisingizia mimi niko na BH yaani wananichonganisha niachwe na my telemundo, sitokubali


hv yupo huyu?!Na wewe unawakopesha eti...?You guys are the best. Nikiwa hapa basi hata wanaonidai wanakuja kunikopa
Cc. NigendakoHapaa kuna watu watanunaaa hapa kuona umesema ya moyon
Aunt yangu ana iPhone kumbe? Ndo maana maandiko wake mzuri tofauti kabisa na ule wa Mwajuma uliyemnunulia Singerphone.
Simu kubwa kama cherehani




Duuu.... kumbe mnakopa hela ili mkahonge!....ngoja nione kama ninaweza kumdipu.
Kumbe ndo maana mama Ashura alikuwa na furaha sana alivaa nguo mpya, dela jipya gahulo kyupi yaani kila kitu kipya. Ulifanya vizuri kumnunulia
Kwa mashairi tu unatishaa km njaaJameni, ujue wewe ndo tegemeo langu. Unapaswa kuwa wa mwisho kuniumiza moyo. Nimesikitika sana hadi nguvu zimeniishia.
Machozi yanatiririka kama mvua za vuli bila mwamvuli nahisi nitasombwa na upepo wa kusulisuli