Mm muamala sijaugusaa...usinichonganushee....ngoja nione kama ninaweza kumdipu.
Kumbe ndo maana mama Ashura alikuwa na furaha sana alivaa nguo mpya, dela jipya gahulo kyupi yaani kila kitu kipya. Ulifanya vizuri kumnunulia
Ee Safi wamekukomesha maana hizo ndo zinakupa jeuri [emoji2][emoji2]na wasikulipe kabisaa.....nimeishtaki serikali kwa kuchelewesha malipo yangu ya korosho. Sasa utetezi wao ni kuwa Zito kaandika barua wedikapu hela zimezuiwa. Hakimu kujitoa.
Nilikuwa tu basi utashangaa sana
Fanya Fasta aunt yaani hapa tayari nishapata na tumbo la gesi nikizipata utashangaa sana.Ngoja niongee na anko wako akutumie sasa yeye anatumia t pesa binamu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Tafadhali tafadhali ni mume wa mtu huyoo ohoo sitaki matatizoMme wako obe huyo ndio kamuambiza
Sent from my iPhone using Tapatalk
Chonganishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiooooo kanambiaaaa
Roho mbaya unataka mwajuma..amina na mnyarwanda wake wasifaidEe Safi wamekukomesha maana hizo ndo zinakupa jeuri [emoji2][emoji2]na wasikulipe kabisaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unatumia ttcla binamuFanya Fasta aunt yaani hapa tayari nishapata na tumbo la gesi nikizipata utashangaa sana.
Natanguliza shukrani
Basi ni mume wenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa unatumia ttcla binamu
Hivi yale mapenzi ya video call kuangalia tamthilia nani aliyapeperushaaaBasi ni mume wenu
Jameni, ujue wewe ndo tegemeo langu. Unapaswa kuwa wa mwisho kuniumiza moyo. Nimesikitika sana hadi nguvu zimeniishia.Ee Safi wamekukomesha maana hizo ndo zinakupa jeuri [emoji2][emoji2]na wasikulipe kabisaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jameni, ujue wewe ndo tegemeo langu. Unapaswa kuwa wa mwisho kuniumiza moyo. Nimesikitika sana hadi nguvu zimeniishia.
Machozi yanatiririka kama mvua za vuli bila mwamvuli nahisi nitasombwa na upepo wa kusulisuli
Sasa unatumia ttcla binamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aunt yako kwangu kafa kaozaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anko nimekumind kishenzi yaani umeniharibia saa hizi ninajiandaa kuomba msamaha.
Inabidi unipe mbinu nifanye kama unavyofanya, unamkosea aunt afu anaomba yeye msamaha
Kama anatumia ttcl ebu fanya kumrushia binamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri nikiingia chumbani tupo wawili hapa nitashindwa kupokeaHivi yale mapenzi ya video call kuangalia tamthilia nani aliyapeperushaaa
Nawasha azam leo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mokasini unaenda wapi binamu....ndiyo nayoitumia yaani utanisaidia sana hapa nishavaa kabisa mokasini yangu
Hahahahahahhaah ebhuuuu ukooooSubiri nikiingia chumbani tupo wawili hapa nitashindwa kupokea