Makapuku Forum

Makapuku Forum

Fanya mapema binamu, yaani jina langu limechafuka sana nashindwa nitalisafishaje.
Hivi kabla ya depal yule madame s ulimuacha kwa sababu ya kukufumania na Halima tu? Yaani ufumaniwe wewe halafu ukamtaliki dada wa watu. Umeniudhi sana
Mapema sana binamu nitakutafuta, tuongea vizuri
Hahahah binamu,kumbe faili langu lote unalo.
Hii list imekuwa kumbe,nataka nikiwa mkubwa niwe kama wewe binamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom