Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mokasini unaenda wapi binamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mokasini unaenda wapi binamu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Binamu anikosee nimwombe msamaha mimiAnko nimekumind kishenzi yaani umeniharibia saa hizi ninajiandaa kuomba msamaha.
Inabidi unipe mbinu nifanye kama unavyofanya, unamkosea aunt afu anaomba yeye msamaha
Hahah sawa binamu, nitakutafuta weekend hiimkwepu jr u khali gani Maalim hebu nitafutie moudgulf aje maana niliodhani ni ndugu zangu wanachafua jina langu ambalo nimetumia waganga kulijenga angalau lifahamike.
Ndugu zangu wenyewe ndo hawa hawa Lee na ningendako ambao kama unamjua mtu asiyejulikana nitafute kwa namba ya ttcl tupange mkakati
[emoji23]Aunt yako kwangu kafa kaozaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usimsikilizeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Binamu anikosee nimwombe msamaha mimi
Namtaniaaa ankooo[emoji23]
Sawa sawa binamu, nashukuru kwa kulitambua hilo,unanifahamu vyema siwez kuharbu kwa jiran[emoji2].....nilijua tu simu yako imehackiwa maana sio kwa kuniharibia kwa jirani yako ambaye bahati mbaya sana mimi nnampenda mno juzi tu nimemnunulia pipikoo ajikinge na corona
Hahahah[emoji23][emoji23]me sikuamini ujue haya nawewe jipendekezage tu Kama anko wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah shunie husahau tuKwahiyo siku ile ulikuwa unachangia tu baba wawili
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hahaha aiseHiyo signature mbona haiandiki ni iphone 11 max?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahAunt yangu ana iPhone kumbe? Ndo maana maandiko wake mzuri tofauti kabisa na ule wa Mwajuma uliyemnunulia Singerphone.
Simu kubwa kama cherehani
Hapana jamani baba wawili nimeuliza tuHahah shunie husahau tu
Jirani, ni wewe umeandika haya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jameni, ujue wewe ndo tegemeo langu. Unapaswa kuwa wa mwisho kuniumiza moyo. Nimesikitika sana hadi nguvu zimeniishia.
Machozi yanatiririka kama mvua za vuli bila mwamvuli nahisi nitasombwa na upepo wa kusulisuli
[emoji23][emoji23][emoji23]Aunt yako kwangu kafa kaozaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anko nimekumind kishenzi yaani umeniharibia saa hizi ninajiandaa kuomba msamaha.
Inabidi unipe mbinu nifanye kama unavyofanya, unamkosea aunt afu anaomba yeye msamaha
Nini tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Mjombaa ulichotumia leo, usikirudie tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mjomba ulichokitumia leo, usikirudie tena[emoji23]Nini tena
Mmenichekeshana sana aiseeHapana jamani baba wawili nimeuliza tu