Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mkuu kumbe umekulaWewe kwa nafasiiii yakoo
Sakayo haelewekiii usishangae kesho tumebwagana
Mkuu kumbe umekula
Mboga na mbegu zake
Nimeuliza tu kwa herufi ndogo







unataka nijibu nini sassNimerudi na kukuta wadau mnaendelea na jukwaa letu lenye matundaLakini umerud na kutukumbuka
Asante sana dadakeAsante nimefurahi kukuona pia
Umejianika na nini au mimi ndo sijui maana ya kujianikaKwa sababu naweza kujianika hivyo
OoohhhSio uchochezi huyu mdau muda mrefu anakuja na vimaneno vya kukashifu
NaniJamaniii kwanza nmekumis
Najua jibu lake wewe usipo jibuunataka nijibu nini sass
HayaNamwambiaa ukweli
Dunia inatembea na imesha sogea mbele sanaKuna picha inaoneka kwenye hili jukwaaa alikuwa anatumia mtu mmojaa humu.zamani
WeweNani
Na mimi napambana hivyo hivyo jamaniNi njema mkuu habar ya ujenzi wa tanzania yetu
Huku tunajenga kwa kukimbizana na mvua maana haituachi salama
Nashukuru mnooo jamaniSi ndoto akii.. nishakuambia sana maupendo yangu.
Yani kuna mtu unatokea kumpenda tu bila sababu. Katy Perry anaita Unconditionally love..
Ndio ilivyo kwangu
Mimi mambo za kushare siweziWewe kwa nafasiiii yakoo
Sakayo haelewekiii usishangae kesho tumebwagana
Na nani tenaunataka niachweeee sio bureee
UsitulazimisheLeo naona kapuku imezinduka upya.....ndo inavotakiwaa
Au umesahau kipindi kapuku imenoga alikuja na maneno ya kejeliOoohhh
Asante kwa mapambano maana bila kupambana ni sawa na kuwa maitiNa mimi napambana hivyo hivyo jamani