Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sina chuki na mtu , na jiuliza kipi kinawakalisha hapa siku zote hizi ,hamchoki ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu tunaita utindio wa ubongo huwapata sana watoto chini ya miaka mitano

Utakapo mpata akapona wengi hujikuta wana matatizo ya kuhisi kila kitu wanajua huku wakiwachukia wanao jua

Sasa wewe na akili zako timamu unawezaje kufuatlia vitu ambavyo huvielewi kama.sio huo ugonjwa
 
Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom