Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Kisa cha kupotea ni nini hasa?Leo naona kapuku imezinduka upya.....ndo inavotakiwaa
Kisa cha kupotea ni nini hasa?Leo naona kapuku imezinduka upya.....ndo inavotakiwaa
Hahaha.. yaani unenichekesha ulivyoongea na ukiangalia na miili ya hao watu.Hahahaha mkuu mi nina mwili wa stick ya kuchapia watoto
Hiyo avatar niipenda kulingana na harakati za maisha na mapito yangu
Niko apaChibongeee
Ebhuuu wekaa mamboo hapoooo ....Je wajua irudi.. Mh Mhariri wa kipindi
we acha tu maisha yana mengi ya kujifunza na kuyasimuliaHahaha.. yaani unenichekesha ulivyoongea na ukiangalia na miili ya hao watu.
Inaonyesha harakati zilikua sio poa
Umepika nini leo baby ake mtuNiko apa
Kweli bwanaHahahahahahahahaha jingaa kweliiii
Mtoto mritoooo anaipandishagaa lakiniJe wajua irudi.. Mh Mhariri wa kipindi
Niseme tu nimefurahi kukuona bado uko hapo kama kapuku mkongweNiko apa
Watu huweka avatar wanazo fanana nazo au vitu wavipendazo..
Naimani uliweka hyo avatar coz she's beautiful kama ww.
Itakua mndali ni mnene kama hayo mabonge kwenye avatar yake![]()


Sasa mbona mimi chibonge cheusi mangala na ninapenda avatar hizo
Nikuiteje na unao wengiNiiiteee baby......
Napitaaaaaa ndukiiiiiiiSasa mbona mimi chibonge cheusi mangala na ninapenda avatar hizo
HahahhahahahKuna ninja alieleza kala mbib wa 62 yrs..
Wewe kwa nafasiiii yakooNikuiteje na unao wengi
Mi nilikuwa nje ya kazi muda mwingi niliutumia kwa kufanya kazi ya mahali nilipo kuwaTuanzee na wewe?![]()
Hiviii anaenjoy game kweliii au ?Kuna ninja alieleza kala mbib wa 62 yrs..
Unajua nilichopikaUmepika nini leo baby ake mtu
Lakini umerud na kutukumbukaMi nilikuwa nje ya kazi muda mwingi niliutumia kwa kufanya kazi ya mahali nilipo kuwa
Asante nimefurahi kukuona piaNiseme tu nimefurahi kukuona bado uko hapo kama kapuku mkongwe
Pia nishukuru kwa uzima mungu alio tupatia