Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,411
- 109,947
Leka gusa.. ndamukumbuye chane wifi wawe
Leka gusa.. ndamukumbuye chane wifi wawe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa umeandika na roho ya baba kabisaNasikia mimi ni muke ya sita...
My dear, nina wivu wa hela zootee!! Sitakagi uke wenza!!
Najiona kabisaa nikichoma familia sita!!!
Daah nimemiss tu uwepo wa watu humu.. na zile couples zenu sasa.. Wapi Linamo wa Nyagei
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Mimi niko singooo
Looking for my Valentine
Pole na karibu.. Mm nilijua ulikua mkongwe humu! Karibu sana. Mimi nilikua kitengo cha ukaguzi wa new releases 😀😃😃
UtakufaaaHodii...[emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wake zako ndo maana wanakuacha [emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahahahaSawa Mkuu
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa..mm ndio nilikuleta huku kama my baby mama💃💃💃[emoji6][emoji6][emoji6]
Unataka kwenda wapi lakini
Tukiwaaa wapenziiiii...hivi kwa nn uliniachaa
[emoji849][emoji849]kuhusu hili mbona tulishaongea binamu,,
huyo ni my telemundo binamu..
Nakumis wewe kiumbeeee
Hapana... Tumosa alikua wa shedede i guessTumosa alikuwa wako eti
Nakumbukaaa ila ulikuwa unatoswaa ajabPole na karibu.. Mm nilijua ulikua mkongwe humu! Karibu sana. Mimi nilikua kitengo cha ukaguzi wa new releases [emoji3][emoji2][emoji2]