ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,947
- 13,864
He! Usinambie t wako kakuacha??!!!Jipya watu wamepotea..
Wengine wameoa
Wengine wameolewa
Wengine wameachika
Wengine wamezaa
Wengine ni michepuko
Wengine tupo singo
Yaaniii ni tafrani tuu
Hapana... Tumosa alikua wa shedede i guess
Yuko na mm siku hzi
Kabisaa Mkuu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa umeandika na roho ya baba kabisa
Ohooo...kwahiyo mmeshea kinu na binamu yakooo....!?Na ww si uliniachaaa
Haya
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji6][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
She's free at free state...Utakufaaa
Unanicheka eeehhhHahahahahahaha
Halafu ukaniacha huku ukaenda kwa wengineKama kumbukumbu zangu ziko sawa..mm ndio nilikuleta huku kama my baby mama[emoji126][emoji126][emoji126]
Ni wivu tu (In Sakayo's Voice)Nakumbukaaa ila ulikuwa unatoswaa ajab
Damu ilikua inachemka...kila kizuri nakimbilia😁😁Halafu ukaniacha huku ukaenda kwa wengine
[emoji2][emoji2]oooh..Asantee Sana boss nimeshakaribiaa[emoji120]Pole na karibu.. Mm nilijua ulikua mkongwe humu! Karibu sana. Mimi nilikua kitengo cha ukaguzi wa new releases [emoji3][emoji2][emoji2]
Ahsante. Hamna ubosi tena. Nilivuliwa vyeo kwa uhujumu[emoji2][emoji2]oooh..Asantee Sana boss nimeshakaribiaa[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
T ameniacha siku nyingi saaana jamani!! Saivi ana mke na mtoto anitwa J
Kwahiyo akapigwa ridandasi?!Shedede alikuwaga mlinzi ila sku za mwanzoni alikuwa msumbufu huyu mtu