Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwa wapenzi wa midundo ya South Africa mtakuwa mmesikia kuhusu kifo cha nguli aliyetamba miaka ya 70-80 akiwa mwanzilishi wa kundi la Ladysmith Black Mabanzo.

Nimeumia sana maana kama na wewe ni kijana mwenye mamboya kupenda miziki ya miaka ya 70s basi utakuwa unamfahamu huyu Joseph Tshabalala.

Apumzike kwa amani na fyi, kutokana na kazi yake nzuri kundi lake limefanikiwa kutwaa tuzo 5 za Grammy.

Pumzika mzee mzima Shabalala

View attachment 1354865
Apumzike kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom