Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Hahahahahahaha....Husna mrembo mama watoto wa kufa na kuzikana.
Hahahahahahaha....Husna mrembo mama watoto wa kufa na kuzikana.
Kama kuumia tunaumia sote wala usijali ila msema ukweli ni mpenzi wa AllahAnko nilijua undugu ni kufanana?
Sio wa kunifanyia hivi yaani.
Nimeumia sana
Kama kuumia tunaumia sote wala usijali ila msema ukweli ni mpenzi wa Allah
Ila swalama kabisa....vipi yule cha kudeka mtoto wa singidaa umemuachia nauli au kesho kesi?
Sasa aunt kaingiajee hapa mbona unapendaga kumpa stressKa hahahahhaa. Singida tena, kumbe alikujulisha, ila anko mbona unakuwa unaweka kauzibe sana ndugu yangu. Maneno yale uliyomwambia nami nikisema nimwambie aunt tutafika kweli?
Huyu anayeongoza kwa kuimba (lead singer) ndiye Joseph Shabalala hapa akiwa na Paul Simon
Burudika mdau wa jukwaa hili adhimu. Jumatano Njema
Gitaa la Khumalo ndo linanifanya niutupie tena huu wimbo






Anapambana na kifua chake huyo na hapo rose wa jimwage gest asemeje
Teh teh mbona uko hivyo lakini..?Mtaachana tu...
Duhhhh kumbe...!!....Husna mrembo mama watoto wa kufa na kuzikana.


MmmmmmmmmmmmhhhhhKuna kiumbe cha kuitwa ABJ kinacheza na sharubuuu za bwana wako




ndo ujue kuwa mpo wengi na mtaachanaaa
Nilikwambiaaa
Anakutafutaaa kwa udiii na uvumba
Ngoja nijitoe nisije pigwa buree... Maana hadi rangi mnafanana na baby mama wako...Anko nilijua undugu ni kufanana?
Sio wa kunifanyia hivi yaani.
Nimeumia sana

Ngoja nijitoe nisije pigwa buree... Maana hadi rangi mnafanana na baby mama wako...
Sent using Jamii Forums mobile app




Acha uwoga pigania penzi lako wewe
Kwa wapenzi wa midundo ya South Africa mtakuwa mmesikia kuhusu kifo cha nguli aliyetamba miaka ya 70-80 akiwa mwanzilishi wa kundi la Ladysmith Black Mabanzo.
Nimeumia sana maana kama na wewe ni kijana mwenye mamboya kupenda miziki ya miaka ya 70s basi utakuwa unamfahamu huyu Joseph Tshabalala.
Apumzike kwa amani na fyi, kutokana na kazi yake nzuri kundi lake limefanikiwa kutwaa tuzo 5 za Grammy.
Pumzika mzee mzima Shabalala
View attachment 1354865
Huyo tshabalala ni kwamba amekufa au halafu yule tshabalala wa simba ndio amechukua jina la huyu
ndo ujue kuwa mpo wengi na mtaachanaaa
Nilikwambiaaa


mhh nimejionea loooohh... Siwezi vumilia mie