Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mwenyewee niliogopaaa kukupaaa nikafa na maumivuu moyoniii wala skuwa na ratba ya hukooo nilikuja kutuliza nafsi
Ooh ukauchuna [emoji848] ebu ninunulie ile jezi kama uliyovaa ile siku [emoji847][emoji847]

Siku ile nilikuwa nimefulia woiii bado kidogo nikuombe hela nikafa na tai shingoni kama mjerumani [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
 
Back
Top Bottom