Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Hukutegemeaaa lakiniiii
Mmh lakini mbona nilikuchangamkia ulijishtukia tu
Mmh lakini mbona nilikuchangamkia ulijishtukia tu
Nawekaga nikiwa safariiFanya uweke askari sasa


zishaanza kama mwaka jana
Pole sanaHii ni uzembe nilipaki nje ya geti ili nitoke baade uvivu wa kufungua get nikapitiwa na usingzii mpka saa 11 alfajir kwenda nje majanga![]()
Ni kweli sikutegemea wala sio uwongoHukutegemeaaa lakiniiii
Na badooo sku nyingne najitoa ufahamu najifanya nmekosea kugonga getiNi kweli sikutegemea wala sio uwongo
Njo ukutane na wiii mana yeye ndio anashinda sijui utajitambulishajeNa badooo sku nyingne najitoa ufahamu najifanya nmekosea kugonga geti
Hapana bwana ebu pigania penzi lako mmetoka mbali ujue unakubalije kirahisi hivi



akaa mtu kabisa anasifia mwingine laivu laivu nami naona afu nirudii Sina moyo wa chuma Mimi 
Nakazia yaani nakazia ndio mana nimekwambia sitaki stress mie


Sasa mbona unanisukumizia na Mimi kwenye stress etiYaaani weewe jaamaaani....Husna mrembo mama watoto wa kufa na kuzikana.


Ni kweli nilipotea bhana lkn now I'm back againSijakuona mimi jamani toka mwaka juzi
Mama gn tena huyo?!.....hapa sasa ndo unapoanza kunijazia watu. Mama mwenyewe akija hapa unadhani itakuwaje?
Wewe na Obe
What?!Kuna kiumbe cha kuitwa ABJ kinacheza na sharubuuu za bwana wako
Mh!!!Anko nilijua undugu ni kufanana?
Sio wa kunifanyia hivi yaani.
Nimeumia sana