Salama kabisa ShangaziHabari yako we mzee
Nani alikuteka eti
Je wajua inakujia na shunie shunie kibonge
Hahahha halafu apa ndio nakumbuka chips zangu za janaChibongeeeeeeeeeeee bosiiiiiiii wa Abaah na mario
Nani mwingine tofaut na wewe





Nakuona we mzeeSalama kabisa Shangazi
Hahahahahahaahahah mimi chipsiii nilishindwaa jinsii ta kuziagisaaaHahahha halafu apa ndio nakumbuka chips zangu za jana
Hivi kwa nn haujaniletea
Ww jana si uliniambia upo kwenye kuku au ulinilisha matango poriHahahahahahaahahah mimi chipsiii nilishindwaa jinsii ta kuziagisaaa
Si umechokaaaaa bosiiiiiii wewe lala tu
Ndioo nilikuwaaa kwenye kuku ila chipsi si unajua mama alinikatazaWw jana si uliniambia upo kwenye kuku au ulinilisha matango pori
Najiandaa kwenda kufuturu nimealikwa
Nimezikumbuka Floppy Disks
Hiyo GOT sijawahi kupata msisimko wa kuitazama
AmenBaba yetu na Mungu wetu tunakushukuru kwa ulinzi mchana kutwa asante kwa yote uliyotutendea Tunaomba Toba kwa makosa yote tuliyotenda kwa mawazo,maneno,matendo na kutotimiza wajibu mbalimbali Uturehemu Twakusihi..usiku Wa Leo tunaomba utulinde Yehova utuepushe na ajali na hatari mbalimbali za kimwili na kiroho tunaomba malaika walinzi wazingire nyumba zetu na kesho Baba utuamshe salama endelea kutupigania Mfalme Wa Amani tufariji,Tuponye,Tutie nguvu walinde ndugu,jamaa,marafiki wote wape tumaini na imarisha imani kwa kila mmoja wetu DAMU Takatifu ya YESU Kristo Itufunike Tunaomba yote katika jina LA YESU Kristo Amen ..Usiku mwema
![]()
Cover yake tu inatisha seuze kilichomo ndani!