Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
Hahahaha, kweli kabisa, toka moyoni ,naipenda hii segment sana tuSema kweli we mzee
Hahahaha, kweli kabisa, toka moyoni ,naipenda hii segment sana tuSema kweli we mzee
Hahahaha, imekaa vzrNafurahi kusikia umeelewa we mzee
WoyoooooHahahaha, kweli kabisa, toka moyoni ,naipenda hii segment sana tu
Hahahaha, mie naipenda na kuifuatilia vzr Sana ,Hongera kwa hiliWouzeer wouzeerr
Kumbe je wajua ina wapenzi hivi kama ww mzee

Kila siku unaongea habari za kudhamini tu maneno tuHahahaha, mie naipenda na kuifuatilia vzr Sana ,Hongera kwa hili
Ndio maana nataka niwe mdhamini wa hii segment
MTC | 101|![]()
Hahahaha, udhamini uko tayari namna ya kufikisha 'mpunga' ndio bado utata Shangazi ShunieKila siku unaongea habari za kudhamini tu maneno tu
Acha maneno mwaga mpunga
Upoje we mzee lakini
Kweli shangazi Shunie siwezi kukudanganya kabisaMh we mzee
Utaanza kunilipa sasaMtoe huyo nas mdogo bwana tafuta avatar nzuri za Cole huwa napenda unazowekaga za cole

Mtoe huyo nas mdogo bwana tafuta avatar nzuri za Cole huwa napenda unazowekaga za cole
Baba yetu na Mungu wetu tunakushukuru kwa ulinzi mchana kutwa asante kwa yote uliyotutendea Tunaomba Toba kwa makosa yote tuliyotenda kwa mawazo,maneno,matendo na kutotimiza wajibu mbalimbali Uturehemu Twakusihi..usiku Wa Leo tunaomba utulinde Yehova utuepushe na ajali na hatari mbalimbali za kimwili na kiroho tunaomba malaika walinzi wazingire nyumba zetu na kesho Baba utuamshe salama endelea kutupigania Mfalme Wa Amani tufariji,Tuponye,Tutie nguvu walinde ndugu,jamaa,marafiki wote wape tumaini na imarisha imani kwa kila mmoja wetu DAMU Takatifu ya YESU Kristo Itufunike Tunaomba yote katika jina LA YESU Kristo Amen ..Usiku mwema
AmenBaba yetu na Mungu wetu tunakushukuru kwa ulinzi mchana kutwa asante kwa yote uliyotutendea Tunaomba Toba kwa makosa yote tuliyotenda kwa mawazo,maneno,matendo na kutotimiza wajibu mbalimbali Uturehemu Twakusihi..usiku Wa Leo tunaomba utulinde Yehova utuepushe na ajali na hatari mbalimbali za kimwili na kiroho tunaomba malaika walinzi wazingire nyumba zetu na kesho Baba utuamshe salama endelea kutupigania Mfalme Wa Amani tufariji,Tuponye,Tutie nguvu walinde ndugu,jamaa,marafiki wote wape tumaini na imarisha imani kwa kila mmoja wetu DAMU Takatifu ya YESU Kristo Itufunike Tunaomba yote katika jina LA YESU Kristo Amen ..Usiku mwema
![]()