Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Nani alikuteka etiSalaaaaaaaaaaaaaaamuuuuu
Nani alikuteka etiSalaaaaaaaaaaaaaaamuuuuu
Hahahaha, bata muda woteKwenu eenh wengine kwetu hatuna cha weekend wala nn

Sio bata muda wowote kupambana na kazi za watuHahahaha, bata muda wote
MTC | 101|![]()
Safi Sana kazi ndio yenyeweSio bata muda wowote kupambana na kazi za watu
Safi Sana ,Segment yangu pendwaJe wajua inakujia na shunie shunie kibonge
Hahahaha hii Kali
Tupogo mkuu..Daaah nyie watu nyie bado mpogo?? Hope yo Tremendous fine! Tom yeye ndio simuoni humu.
kiasi mkuu, tia maji tia maji mkuu..nashukuru tu kwa uhai na afyaTupogo mkuu..
Maisha yako ni ajee?
Jambo la muhimu ni uhai mkuu..kiasi mkuu, tia maji tia maji mkuu..nashukuru tu kwa uhai na afya