Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Kwema shunie??habar za siku
Kwema shunie??habar za siku
Safi baba wawili za wwKwema shunie??habar za siku
Salama we mzee sijui kwako
AsanteMimi niko salama kabisa, nafurahi km uko salama na wewe ,nafurahi pia kuona wote humu mko/wako salama
AmenAsante
Tuzidi kubarikiwa sote
Baada ya hapo ni historia imekuwa
Salama kabsa kibonge mwepesi!Safi baba wawili za ww
Naomba ubadili hiyo avatar jamani
Hahahaha, huyo si Nas Escobar au? Jamaa nilikua namkubali sana, enzi za ujana nilikua natumia beats zakeSalama kabsa kibonge mwepesi!
Niweke ipi kibonge mwepesi?
Hahaha ndio yeye mjomba,Nas Escobar mwenyewe,hii cover ipo kwenye album lake la Illimatic kama sikoseiHahahaha, huyo si Nas Escobar au? Jamaa nilikua namkubali sana, enzi za ujana nilikua natumia beats zake
Hahahaha, Mjomba ujana maji ya moto, kitambo Sana hiyoHahaha ndio yeye mjomba,Nas Escobar mwenyewe,hii cover ipo kwenye album lake la Illimatic kama sikosei
Mjomba ulikuwa unapanda na beats za mjomba Nas??
Hahaha inapendeza mjomba,,salama lakini mjomba??Hahahaha, Mjomba ujana maji ya moto, kitambo Sana hiyo
Salama kabisa Mjomba ,sijui nyie hukoHahaha inapendeza mjomba,,salama lakini mjomba??

Huku salama pia mjomba,jioni njema mjombaSalama kabisa Mjomba ,sijui nyie huko
MTC | 101|![]()
Mjomba salama kabisa, jioni iko vzr ,huku ni 17:10 ,bado tuko kujenga TaifaHuku salama pia mjomba,jioni njema mjomba
Mm tena jamani mm na iPhone wapi na wapi na wakati ujumbe wako huuunaanziaa kwakooo boss kubwaa
Mtoe huyo nas mdogo bwana tafuta avatar nzuri za Cole huwa napenda unazowekaga za coleSalama kabsa kibonge mwepesi!
Niweke ipi kibonge mwepesi?
Lakiniii ulininunuliaa weweMm tena jamani mm na iPhone wapi na wapi na wakati ujumbe wako huu