Macho yake nungunungu akinitazama nami nageuka nunungu miba inasimama
Eeeeeeh Fanya wazi unachotaka zidisha kunipenda
La kuna paparazi na basata tusichapane madenda
Yaani pinda nikukande, Pindaa, Pinda mugongo, Pindaa
Embu nipe nikukande, Yaani nikukande
Embu nipe nikukande, Yaani nikukande
Chiiii
Ooh nishikilie nami nikugande, Pindaa, Pinda mi napinda mugongo Pindaa
Asa bebi mi nataka nikukande, Pindaa, Pinda mugongo, Pindaa
Nakoma na zako Kachiri, Kachiri, Ukibinuka binuka
Eeeeeh Eheee Ehee
[emoji1787][emoji1787]insta babe weeeeeeee........naona mautamu tuuu hapa hivi watokea barabara ya ngapi we mwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] napitaje kimya insta babe akati naona mambo ya mugongo mugongo na kukandana [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Insta babe nilivyoona notification zako kwanza nimecheka sana nikajisemea huyu hawezi pita kimya
AiseeeLa kuna paparazi na basata tusichapane madenda
Hivi unafunga kweliAiseee
Tunakumiss pia mpenzi za ww pole na mfungoSalama wapendwa humu,?
Nawamisi mimi.[emoji4]
Hahahahaha chizi ww kwahiyo yamekuchanganya eenh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] napitaje kimya insta babe akati naona mambo ya mugongo mugongo na kukandana [emoji23][emoji23]
Ndio mfungo unanihusuHivi unafunga kweli
Hahah nimekumissMm vipi haujanimiss [emoji6]