Makapuku Forum

Makapuku Forum

ningendako duh, nimeifurahia hii clip ya huyu DJ Arch, ngoma anapiga za South na kwa vile mimi simu yangu ina sabufa (subwoofer). Hii simu ni zile mpya na nimeiunganisha na JB Charge E14 muziki wake si wa kitoto.
Asante
NB: Nilinunua simu mpya baada ya kulipwa hela yangu ya kwanza ya kuuza korosho, lakini nadhani nilifanya maamuzi mabovu, kama kuna mtu anashida na simu mpya anitafute nimuuzie. Ikiwa utaleta mteja basi utapata cha juu na hutakatwa kodi, cash bin cash
 
binamu umeanza tena,juzi kati si umetuambia kuwa na ww ulikuwa kangomba,hvyo fursana ya Tumosa inabd avumilie tu,,leo tena unasema ulilipwa haha
Au Sepenga alipita na malipo yote,na inaweza kuwa ndio yalitumika kumpeleka salon na ule muonekano mpya aliona nao kichwani,pesa za koroshow hizo binamu

Btw kale katoto kadj kapo vizuri sana,ukichanganya na kale kadada kake bhasi wanafanya mambo yanakuwa burudani kabsa
 
ningendako duh, nimeifurahia hii clip ya huyu DJ Arch, ngoma anapiga za South na kwa vile mimi simu yangu ina sabufa (subwoofer). Hii simu ni zile mpya na nimeiunganisha na JB Charge E14 muziki wake si wa kitoto.
Asante
NB: Nilinunua simu mpya baada ya kulipwa hela yangu ya kwanza ya kuuza korosho, lakini nadhani nilifanya maamuzi mabovu, kama kuna mtu anashida na simu mpya anitafute nimuuzie. Ikiwa utaleta mteja basi utapata cha juu na hutakatwa kodi, cash bin cash
 
ningendako duh, nimeifurahia hii clip ya huyu DJ Arch, ngoma anapiga za South na kwa vile mimi simu yangu ina sabufa (subwoofer). Hii simu ni zile mpya na nimeiunganisha na JB Charge E14 muziki wake si wa kitoto.
Asante
NB: Nilinunua simu mpya baada ya kulipwa hela yangu ya kwanza ya kuuza korosho, lakini nadhani nilifanya maamuzi mabovu, kama kuna mtu anashida na simu mpya anitafute nimuuzie. Ikiwa utaleta mteja basi utapata cha juu na hutakatwa kodi, cash bin cash
ankooooooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom