Hivi walikukaribisha shemejiYeyote atakaekuwa na kifungua kinywa tukaribishane
Stress za nn tena shunieNimekuja sasa kupunguza stress zangu
Hivi baba wawili ww huna stress eenhStress za nn tena shunie
Sina shunie,,sitaki kukaribsha stress,,maisha yenyewe mafupi hayaHivi baba wawili ww huna stress eenh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sina shunie,,sitaki kukaribsha stress,,maisha yenyewe mafupi haya
Uko poa lakini shunie
Kapata wa kufanana naeWanaendena kabsa
[emoji23][emoji23][emoji23]aisee pole sana shunie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm ninazo woiiiiii yaaan
Hahaha kazi kweli kweliKapatana wa kufanana nae