Binamu kumbe ulilipwa nitumie fursana zangu mie
4.Fahamu kwamba kuna vitu hutaweza
Kama utaangukia kwenye mtego wa kujiona hutimizi majukumu yako kwa mke, wazazi au huwezi kubadilisha ratiba yako ambayo imekuwa na mambo mengi ya kukuzidi lazima utakuwa na wasiwasi.
Usiogope watu, fanya kitu unachokiweza, tena ujisikie vizuri kwa kuwa huna uwezo wa kufanya hicho kwa wakati huo.
Duh, ningekuwa mdhulumati ningeweza hata kuahidi kweli, sijalipwa, unajua kabisa ndugu yako nilidhulumiwa hela, nilipopata hela kidogo nikanunua simu na sijalipwa part tu ya korosho.Binamu mzurumati kaka ake![]()
Kwema,tunamshukuru MunguNipo.
Kwema huko.?
Marhaba dada ake,kwema huko??Shikamoo kaka ake
muone
Anacheza na jiwe huyoKinaitwa cha MTEMAKUNI
Binamu we sio MTU mzuri kila unanirusha roho na hela zaki....nililipwa hela kidogo, ila zile ambazo nilipanga kukupa fursana unywe hadi ujikojolee zilikuwa za kangomba, sijalipwa. Ila krismas haiko mbali nitakuwa nimelipwa.
Anacheza na jiwe huyo
..,.Asante. kuna vitu vingi siviwezi and zaidi ukiwa ndani ya a very demanding relationship. Kila muda mmoja anataka kuwa recipient tu bila kujua kila mmoja anapaswa kuchangia 100 kwenye mahusiano





nakuona na ubahili wakoTuuze simu basis ili tununue fursanaDuh, ningekuwa mdhulumati ningeweza hata kuahidi kweli, sijalipwa, unajua kabisa ndugu yako nilidhulumiwa hela, nilipopata hela kidogo nikanunua simu na sijalipwa part tu ya korosho.
Niliahidi na nitatekeleza


Kwema akina wawili hawajamboMarhaba dada ake,kwema huko??