Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji120][emoji120][emoji123][emoji123]Kwanza mi siamini huo uzushi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji120][emoji120][emoji123][emoji123]Kwanza mi siamini huo uzushi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Eeeenhe
Sijui[emoji23][emoji23][emoji23]Anatakiwa afanyeje???
Hi dearHabari za siku marrybaby
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeanza kuharibika wewe
Shikamoo kaka ake[emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo jina silitaki mm nimeokoka jamani nimezaliwa upya
Shikamoo kaka ake
Binamu kumbe ulilipwa nitumie fursana zangu mieningendako duh, nimeifurahia hii clip ya huyu DJ Arch, ngoma anapiga za South na kwa vile mimi simu yangu ina sabufa (subwoofer). Hii simu ni zile mpya na nimeiunganisha na JB Charge E14 muziki wake si wa kitoto.
Asante
NB: Nilinunua simu mpya baada ya kulipwa hela yangu ya kwanza ya kuuza korosho, lakini nadhani nilifanya maamuzi mabovu, kama kuna mtu anashida na simu mpya anitafute nimuuzie. Ikiwa utaleta mteja basi utapata cha juu na hutakatwa kodi, cash bin cash
Binamu mzurumati kaka ake[emoji21][emoji21][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]binamu umeanza tena,juzi kati si umetuambia kuwa na ww ulikuwa kangomba,hvyo fursana ya Tumosa inabd avumilie tu,,leo tena unasema ulilipwa haha
Au Sepenga alipita na malipo yote,na inaweza kuwa ndio yalitumika kumpeleka salon na ule muonekano mpya aliona nao kichwani,pesa za koroshow hizo binamu [emoji23][emoji23]
Btw kale katoto kadj kapo vizuri sana,ukichanganya na kale kadada kake bhasi wanafanya mambo yanakuwa burudani kabsa
Shikamoo aunt maryAmkeni muwahi namba huko[emoji53][emoji53]
Unachokitafuta utakipataHivi jiwe yupo maana naona yupo kimya
Utakywa ushahamia mkoani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nakwambia yaani hata sijieleiwi na nnajishangaa pia[emoji21]
Utakywa ushahamia mkoani[emoji23][emoji23][emoji23]
Nawasalimia wapendwa wanguuuuuuuuuuuuu
Unachokitafuta utakipata
Hilo jina silitaki mm nimeokoka jamani nimezaliwa upya