Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
HahahhahaKwa wasioamini kinachoendelea nyum ya Jf
Wakina nani hao baba naah wa mama naah wangu
HahahhahaKwa wasioamini kinachoendelea nyum ya Jf
Hao Hao..Hahahhaha
Wakina nani hao baba naah wa mama naah wangu
Haaaahaàaaaaa...eeeh, pilau 😳 naamini mlipunguza sauti maana watu wakisikia pilau nyingine miguno kama kina Cherokee Nyomi.
Au hii ni pilau pilau kabisa ile ya kama biriani bila Mariam mwenyewe?
Wapi husna muba...kwema sana binamu, masiaha yanaendeleaje mdau
Mida inatufanya tusionane kabisa, hata jirani yako simuoni sana
Za usiku nzuri kabisa shemela wa mimi hapaSasa hivi shemela wangu za usiku bwana
D hajambo lakini
Nakojoaaaaaa
Bongo movie bwana
Hahaha hahahaEbu niambie ninachokuibia mrembo wangu mia huna jamani nakuibia nn sasa
WoooiiiHahhahahha
Baada ya kutumiwa hela nikafuta text nakumbuka jina la mwanzo tu
Hahaha hahahaWoyoooooo
Nani kanuna wanaofatilia kwa browser
Utanisadia banaHahhahahha jinga ww akija unakuwa bubu
EwaaaaaNa mm najua unavyompenda baba naah wako
Usingizi haukukujaEbu ngoja kwanza imekuwaje dada acha ukali uliaga ww
Hata sikumbuki jamaniEenh shemeji kafanya nn
Hahaha hahaha hahahaWoyooooo
Nani kanunaaaa wa browser hao
Kukazia hujamboNakazia mimi
Kwa browserAibu kwa nani etiiiii