Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
SawaEeh...
Jamani jf kila mtu anadai hanifahamu..
Niacheni basi..
SawaEeh...
Jamani jf kila mtu anadai hanifahamu..
Niacheni basi..
Hahaha hahaha hahaha@Shunie sema ukweli wa moyo..?
It's a mistake..! Muache mama Nah wangu..Anaamshwa na nani eti
MmmhKama lile linalokuingiaga eti..?
Mama Nah nisamehe bureeee...Sawa baba Naa
Mm siwaelewi ebu tuma pm
Sawa baba Naa wanguu...It's a mistake..! Muache mama Nah wangu..
Sawaaaa...Tuma pm tuu baba Naah
Saivi hebu, nalalaSawaaaa...
Hahahaaaaaa....Tangu lini huniamini eti

Nakupenda mimi wewe dadaKawaida hiyo baba naah ndugu yangu uyo
Hahahaaaaaa....
Mbona siwaelewi..! Si umwambie shunie ukweli tuuu...
Au na wewe kivuli?![]()












Hahahaa...+ 974 *#*5569Sawa baba Naa wanguu...
Naomba namba zako mpya pm
Kwani hapa pm?!Hahahaa...+ 974 *#*5569
Umedanganya umma for sure...
Mie kivuli og, ukweli ni huu, uliniblock halafu ukasema umepoteza simuu... Swali nakublock vipi wakati sina namba yako mpya?!
Sawa baba Naa... Ko nitakuwa nishaku unblock amaPumzika...
Ukiamka unakuta namba kwa wozap yako.
Sawa tuu...Umedanganya umma for sure...